Je, unafahamu SOKOFRESHi?
SOKOFRESHi ni mtandao unaosaidia wakulima kupata soko la bidhaa zao kupitia simu zao za mkono.
SOKOFRESHi ikishirikiana na kampuni tofauti tofauti za ukulima, pia huandaa mafunzo kwa wakulima ili kuwapa maarifa kuhusu ukulima na teknolojia katika sekta ya ukulima ili kuongeza faida ya mashamba yao na pia msimamo wa vifaa kutoka mashamba yao.

Je, wewe ni mkulima au mfanyibiashara na unalenga kuuza bidhaa zako au mifugo? Jisajili na SOKOFRESHi kwa kufinya *415*22#, kisha ulipe shilingi mia moja Ksh100 tu kupitia lipa na Mpesa Till no.979041, upate kuwasiliana na wanunuzi. Unaweza pia ongeza bidhaa zingine kwenye accounti yako kwa kufinya *415*22# n uongeze bidhaa zingine unazo uza.
Habari njema pia kwa wanaotafuta kununua bidhaa za shamba na mifugo. Finya *415*22# upate bidhaa hizo na zingine nyingi kupitia mtandao wa SOKOFRESHi. Huduma hii ni bure.

Leave a Reply

Your email address will not be published.

You may use these HTML tags and attributes: <a href="" title=""> <abbr title=""> <acronym title=""> <b> <blockquote cite=""> <cite> <code> <del datetime=""> <em> <i> <q cite=""> <s> <strike> <strong>

clear formSubmit